Baesa mwenda duniani

October 1 2015 4:07pm     0 1233

Photo Credit:Google   Tingua risto

Kuna vitu kadhaa zenye hufanya wasee kutravel na moja yao ni baesa. Lakini kunazo kadhaa lazima upitie ata kama ni kuyebi solo. Hasapa utaweza shikanisha epic views, histo mwenda na tei kimoja. Ikuwe ni baesa mzae duniani ama jamo yenye ilijengwa ninda ya mti, hanaku vile unaweza maliza hisihi list bana.

Ukiwa Jamaica, lazima kufika Rick’s Café ikiwa mtaa inaitwa Negril. Inatambulika kwa vile imejengwa kwa cliff na ukiwa hasapo unaweza cheki sunset vipoa sana ama kwa wale wanapenda kudive, wanaweza pia jirusha kwa waba yenye iko 60feet below.

Baesa inengi iko kwa hewa tuseme, ni Bangkok’s Sky Bar, yenye iko the 63rd floor ya Lebua Hotel. Ikona view mwenda ya jiji na ata ilikuwa kwa muvi ile inaitwa Hangover II. Pia unaweza amua kuenda kukatika ninda ya Gothic Cathedral husuko Bali, Indonesia. Hisihi ikiwa chachiko ilifanywa kukuwa baesa.

Hasapa East Africa, Zanzibar imetokelezea kwa list ikiwa na the Rock Bar, yenye iko ninda ya Indian Ocean. Kufika pale, either unaweza ngoja tide ikiwa low ama upate ride kutoka kwa fisherman’s boat. Alafu ukiwa SA, unaweza kata maji ninda ya Baobab Tree Bar, yenye ni mwenda kuruka.

Kuna option ya kuendelea ninda ya cave husuko Croatia. Ama kwa baesa iko ninda ya waba husuko Maldives. Na bado unaweza kujibamba ninda ya Ice Hotel ya Canada.kila kitu imemekishwa na ice hadi mbekiko zao. Kunazo baesa zinengi kibao lakini hakuna kulala.

Related Stories