Ngori za kukuwa na death wish…

October 1 2015 4:39pm     0 548

Photo Credit:Google   Tingua risto

Kugenya ni kawa, sisi wote lazima tupitie hiyo noma. Lakini kumekuwa na ngori nifla ya wasee kutaja vile watakamanyuria alafu madays baaden inafanyika. Tena inakaa hii ngori inaangukia maceleb sana.

Juzi tulicheki riba ya msanii Nana Gichuru, mwenye alikuwa amepost risto za kudedi kwa Facebook alafu siku kamakinde baaden akauma pamba baada ya aksi jamo mwenda. Mbuus mwinengi akiwa Fashion Blogger, Tionna Lyssah Wangechi, pia aligenya kwa aksi baada ya kupost kwa Tumblr Blog kuhusu vile ako suicidal. Kibahati poa mabeshte zake, Rapper Wangechi na Tewa walisurvive.

Mwinengi alikuwa Kelvin Muita, akiwa msanii ninda ya local production inatambulika kama Tahidi High. Yeseye alikuwa na sad story kuruka, juu mapero walidie, alafu grandy wa kwake pia akafwata baaden hadi ikabidi ameenda kuishi na uncle wa kwake. Ata hivyo alikuwa na maisha hard juu ilikuwa inabidi amehustle kuwai mkwanja ya kulipia fees za chuo na kuget keroma. Aligenya baada ya chronic asthma attack.

Lakini ile tunakumbuka bado ni ya msanii Issah Mmari Wangui, a.k.a E-Sir, mwenye pia aligenya kwa aksi akiwa anaenda kuperform husuko Nax. Yeseye alikuwa na ngoma inaitwa Hamnitishi, yenye alidai maisha ni kama kusafiri bila spare tyre alafu unawai puncture.

Unadhani hawa wadhii walikuwa wanatambua wako karibu kudedi ama death ilimuja baada ya kuitaja? Itaendelea kukuwa mystery kuruka.

Related Stories