Manzi wa Ghetto!

October 1 2015 5:11pm     0 965

Photo Credit:Google   Tingua risto

Mashida madem wa ghetto huelewa ni zile wengine hutake for granted. Zaidi ya kukuwa kwa ngori ya kustruggle kuwai keroma, alafu bado kuna issue ya kujali maslahi za keja alafu bado cladi za kung’’ara. Riba za chuo ata hatuwezi weka kwa mix bado juu hustle ni mwenda already.

 Sa imagine kuzaliwa ukiwa mbuus, alafu ishafika matime za puberty then ndio hizo mahitaji nira zikidaisha sanitary pads. Masaibu vimajor. Kuzidisha wale wengi hulazimika kujichuja kutoka chuo coz hawawezi afford kuboti hizi bidhaa. Imefika point inabidi wanajikinda(kwa ukuro) ndio waget ganji ya kuboti sanitary pads.

Lakini kuna hopes, ambapo the CUP Foundation, wameamua kusaidi hawa madem kurudisha dignity yao. Wamekuwa wakiprovide menstrual cups zenye zimemekiwa na silicone na zinaweza last hadi miaka kinde. Pia wanwai hao mambuus empowerment sessions, wakiwa na campaign ya kucreate awareness kuhusu hii issue. Unacheki ni kama unaweza saidia kwa area gani?

Related Stories