Madonga wa China wanajazika na milo ya msee
Photo Credit:By Standard Digital Tingua risto
Of late kumekua na hii riba nifla yenye bado haieleweki ilanza aje. Ni risto ya wasee wasodi kunyemelea milo....ukaachia risto hapo, kuna vile inakaa kaa kitu ya kawa...lakini riba bado haijaisha. Milo yenyewe yenye sasa ndio wanafuatilia kwa sana ni milo ya madem wananyonyesha!
Milo ya msee imekuwa keroma tamu sana kwa madonga wa husuko kwa machinku. Demand ya hii milo imekua bigi yaani hadi to an extent kuna campu husuko side za Shenzhen, mtaa iko karibu na Hong Kong, wana offer ma nurse (ama ukitaka, wet nurse) kwa wadhii wasodi na madonga waweze kunyonya milo yao. Hasawa ma nurse wanageiwa hii jobiso, inasemekana wanakanjwa vipoa sana, ka mara nne zaidi kuliko hasao wengine. Inasemekana hao hu kanjwa 16,000 Yuan (KSh. 220,000) kwa month jamo. Lakini ndio wakanjwe hisivi, lazima hawa nurses wakuwe ni wale wana afya best na ni wasupa.
Milo ya msee inasemekana rahisi kudigest kwa mwili kwanza kwa wale wadhii ni wagonjwa. Lakini bado kuna wadhii wanadai sio tabia poa. Rickey Gao anadaisha hii njaro ni ka nopo, anadai amekatisika na na vako zingine za kujibamba ukiwa mdosi sana, juu inabidi usakanye vako zingine za kijibamba. Kuna raiya wengine wanasema hiyo yote ni biashara tu...
Unakenga aje hii risto, ni ufala tu ama ni njia ya kusaka mkwanja?