NDEIMA !!!
Photo Credit:Fatma Pole Tingua risto
Ndeima ni ile day wasee wengi sana wanachukia, mara mob utaskia wasee waki curse ama wanacomplain about hii day.<br /> Mara mob msee hujipata ndeima akiwa stressed, ma anxiety kiasi, ama akiwa sad na pia ni day msee anakuanga amechoka. Hii ndio ile time msee hataki kumochoka kwa bed ikifika rengwa.<br /> Sasa kulingana na huyu mjamaa anajiita Alexander Kjerulf, international speaker na author, anadaisha ati ukiwa na Monday Blues, inamanisha ukona negative emotions. Yaani ukijiskia hivyo inamaanisha haubambiki na kile wesewe udu, ama uko na depression, kuchoka, hopelessness na vitu ka hizo.<br /> Inasemekana kama unabambika na wera yako hauta kuwa unashtuka na ndeima juu unaenda ku du chenye unabambika nayo, juu weekend ulipumzika na ukaji refresh alafu akona mamchoro mob. Sasa ukiwa na Monday blues sio eti ita affect perfomance yako na productivity solo, ita affect hadi relationship yako na wadhii munatinga wera nao. Sasa kama unajiskia uko na Monday Blues, inafaa utambue shida ni nini ndio uweze kui sort mapema mapema kabla kanunge. <br> Tushow ka unapatanga Monday Blues na unadoingi nini kuisort?