Nani atakubali kutetea mambuus?
Photo Credit:Google Tingua risto
Ata ikiwa common knowledge that maisha haiwezi kuwa same bila mambuus, bado unapata wasee wakiwatesa na kuwatumia vibaya. Kila msee atadai kuna sababu, lakini kama binadamu hakuna reason fiti ya kuumiza mwingine.
Na husuko India, risto kuhusu violence against women zimezidi tu sana. Madha mjamo, hasapo Uttar Pradesh alikapitia, baada ya kufika stenje ya makarao akienda kudai hubby wa kwake awachiliwe.
Baada ya kuwekwa hapo bila kupewa usaidizi, alipigwa combii na mavedi wanne, ati juu ya kudinda kutoa kitu kidogo. Atleast aliweza kusurvive hiyo horror na kufika ngware, akareport hisihi masaibu kwa senior police, mwenye alidai atafwatilia na kukamata hao mahongo.
Lakini bado kuna madem hawajawahi pata justice baada ya kukuwa gang-raped na hadi kumadwa. Alafu ufala iko ni venye makarao na hadi gava haijawai chukulia hizi risto viserious, juu tu wale wasee wanafanyiwa hizi mamboz wanatoka kwa caste ya nichi.
Kumaanisha madem watazidi kuishi kama wamegwaya juu hanaku ule anajua saa zenye atakua attacked.