Japan na Greece waka draw

June 20 2014 2:03pm     0 2028

Photo Credit:www.bbc.com   Tingua risto

Greece wakiwa msee mjamo down wakigusa na Japan atleast walitoka na point jamo jamo baada yak u draw kwa group stages. Group C ikiwa ina ongozwa na Columbia na six points ikifwatiwa na Ivory coast na three points.

Game ikiwa bado first half ilikuwa intence tu sana, moves kali zilkuwa zinatoka side ya Japan. Mwanzo tunayebi Yuya Osaka mlefti akiwachili nduki on target but gola wa Greece Orestis Karnezis alikuwa macho na akaweza kui save na mguu yake ya left na ikatoka nje na inches kiasi kutoka kwa post.

Game ikiwa na dakika mbao na tisa(29) huyu msee anajiita Keisuke Honda, pia na yeseye akajaribu kismat na free kick 25 yards to ythe goal but hakwesmake. But Japan walikuwa wanashambulia Greece tusana, kuzidisha ikiwa imebaki dakika tisa game ikatike capi wa Greece Kostantinos Katsouranis aka geiwa cardi ya yellow ya seko baada yaku tackle skipper Makoto Hasebe, so aka have ku toka.

Chaku shangaza na team Greece, wali play vi poa sana wakiwa msee kinde than wakiwa wasee eleven. Attempt ya fao yenye walikuwa nayo ni baada capi wao Katsauranis alipo mochoka, Vasileleios Torosidis alipo pata ball vi best na mguu ya right na kuwachilia short kutoka from the edge of the box, ikabaki keeper wa JapanEiji Kawashima kui save.

Second half iki anza Greece walimuja na moto sana na walikuwa wana shambulia sana kama hii move ya Geogios Samaras alipo attempt long range from the kick-off, bahati sio poa ball Ili paa juu ya mwamba.Alafu walipo duu sub kuingiza Theofanis Gekas, walipo piga coner akaiwang’a head but gola wa Japs akaipush juu ya post ikatoka njei.

After Japs kushambulia hivyo vyote hawakufanikiwa kupata dude, ikabaki Japs wamerudi back on track at 68th munite baada ya Atsuto Uchida kusetia Yoshito Okubo achape dabo. Yoshito alichapa dabo na ika paa juu ya mwamba.Japan ndio ili dominate sana kwa hiyo mechi but team zote hanaku yenye ingeweza ona net ya mwingine, so game ikaisha nil nil kila team iki penya na point jamo jamo.

Related Stories