Origi anasalute roots zake

June 30 2014 3:37pm     0 2245

Photo Credit:Google   Tingua risto

Ka wewe ni fan wa dimba hasapa 254 then unang'am vile Mike Okoth alianzia kama gola wa Shabana FC, in 1984. Hapo kato akiwa anaenda game na Harambee Stars. Alafu akamaha in 1989, na kuchezea Tusker kabla ya kuenda Boshar,nahusuko Oman, in 1991. Career yake haikunyamazia hapo juu alifika kuchezea KV Oostend ya Belgium.

Akiwa bado mayadi za Belgium, akaget mniaju sahii tunatambua kama Divock Origi. Mtoi amerudi kufwata nyayo za budake hadi dunia nzima imetambua famo yao. Maplayer wote washawai kuwa game jamo na Origi wanadai ako na talanta mwenda na kwamba ataenda farthest sana.

Hasapa 254 pia tuko proud sana kukuwa na mjamaa anarepresent na kuweka Kenya kwa map, ata kama hajachezea National Team. Lakini dreams za both buda na mniaju ni yeseye kuweza kucheza kwa Premier League, na enyewe atakua amekafunga then.

Although blanda kiasi ya kuzaliwa nchi tofauti na mtaani, ni venye ako fiti kwa Kingoso, French na Flemish lakini Dholuo (mother-tongue ya kwake) iko down alafu pia anabonga Swa kama wasee wa Congo. But anadaisha kutembelea Mother Land ndio ajijulishe kuhusu roots zake.  

Related Stories