Msanii amekeep Hip Hop alive

September 30 2014 2:50pm     0 2166

Photo Credit:Google   Tingua risto

Ni kawa kupata wasanii wakikubali kubadilika ndio wakuwe relevant na matime. Lakini kuna mjamo aliamua kubaki the same tangu zamo. Na ameweza kuvuma kivyake, hadi kuangusha album nira bado akisifia Hip Hop kama true love yak wake.

Abbas Kubaff a.k.a Doobeez anatambulika kama King of Kaang Kaang, na ndio jamo wa ma-artist mwenye amekwamia kwa Hip Hop scenes hadi wengine wametii. Game yake imekuwa juu na inazidi kupanda mzuka.  Ata tunaweza sema na confidence, amedefine Hip Hop culture hasapa 254.

Ndiwike ya 27th Sept 2014, Abbas alilaunch Album nira inatambulika kama Ghettoholiks, hasapo Cubano, club jamo ya vungu mayadi za Eastlando mtaa ya Doni. Mafans na ma-celeb fogo walimuja kwa hiyo listening party kama; Nonini, Juliani, Chiwawa, Khaligraph, Kristoff, Frasha, Bon Eye, Smallz Lethal na Shuga.

As expected, aliwakilisha vismata na kumekisha ile show kukuwa jamo fyam kuruka. Wadhii walifika, waliwai copy ya hiyo album sare na kubambika venye Abbas alijitolea kinyama kuwa entertain. 

Related Stories