Hanaku kwa kuhepea…

October 10 2014 11:00am     0 1712

Photo Credit:Google   Tingua risto

Li Shao ni mniaju wa miaka tisa na amekuwa akitry kuhepa mtaani mara kadhaa, kila time mradi yake ikigonga ukuta. Masake, Li Teng, akiwa na miaka salasa na tisa, amekuwa akimtesa hadi kuanza kumfunga machain eti ndio asihepe tena.

Li Teng alidai huyo mtoi amehepa kutoka homa mara kobole sahii na inabidi kumweka chains ndio asijiumize. Kumbe mboiyz alikuwa raundi mwenda kwa hood. Na venye makarao walimget na kumpeleka stenje alitulia poa.

Lakini vile madhake alimuja kumget, mtoi alikwara akidai yeseye huteswa sana. Ilikuwa heri abaki pale stenje. Aliachiwa arudi mtaani na masake mwenye anadai maisha yao ni hard juu hana waks na akona income less kuruka. Sa imebidi yeseye kureportiwa kwa social workers wenye watamonitor hii famo na ata kucheki venye wanaweza saidia huyu madha na mniaju wake.

Related Stories