Njaro nira ya kutumia laibu…

November 20 2014 11:45am     0 1868

Photo Credit:Google   Tingua risto

Ukishalemewa na kuchop kuna venye unaweza penya kama stiude. Hanaku haja ya kukula stress pekee yako hapo.

Labda unaweza kuwai ideas kutoka kwa hawa mastiude wa Australia Newcastle Uni, wenye wanasemekana wamekuwa wakitumia laibu kumekisha videsa za porn.

Kuna msee alisnitch kwa ma officials wa chuo na kuwajulisha chenye huendelea kwa laibu kama hawacheki. Kumbe kuna mastiude walikuwa wanajidaisha kufika pale kuchop lakini chini ya maji walikuwa wanashoot vida za porn na ata kutumia net ya laibu kupost to a pay-per-view porn site.

Ilibidi wametinga hiyo laibu na kuiweka safi kupitia steam cleaning. Alafu pia mbisha kusambazwa kwa machogi, za hao mastiude walikuwa kwa hizo vida. Eti ndio wasirudi kumuja hasapo laibu tena.

Mapero heri kuchanuka chenye waniaju hufanya wakiwa chuo, ama utajipata ukililia mtoi wako asichujwe kutoka kwa system. 

Related Stories