Unatambua status koya?

December 1 2014 9:37am     0 2479

Photo Credit:Google   Tingua risto

1st Dec ndio tarehe imepangiwa kujikumbusha kuhusu ukedi. Yaani kwa ufupi amaurefu, siku ya kuraise awareness dunia nzima, kuhusu issues surrounding HIV and AIDS. Inaweza kuwa poa sana kufika VCT kucheki status ya koya. Kucheki kama hii mvua umeponea kisniper.

Pia hii siku inaweza kutumika kushow support kwa wale wadhii living with HIV na sana sana kukumbuka wale walishagenya juu yake. Kunakuwanga na bidii za kueducate raiya venye kuprevent na kucontrol kamdudu.

Ukitaka kutambua venye ukedi ni noma, utashangaa kujua ilimada wasee mita salasa na six worldwide, kutoka 1981 hadi 2012. Alafu wale recorded eti wakona virusi wakiishii bado ni 35.3M. Kumaanisha mbana ya wale wako nayo na hawajui ni bwaku zaidi.

Hasapa 254 pekee, tunacheki by 2012 ilisemekana wadhii 1.6M wanalive na HIV alafu raiya thao chwani na seven wakauma pamba juu ya ukedi. Ata hivyo Kenya imefikia kukuwa the 4th largest kwa kuwai HIV epidemic. Risto yenye haileti shangwe ata kiasi. Kuzidisha bado wasee wakona theories kibao kuhusu hii ngori. Alafu pia ni kama gova imetuna kwa mradi ya kuincrease services za kudeal na ukedi. 

 

Related Stories