Rat Tribe kutoka Beijing

February 5 2015 3:30pm     0 2025

Photo Credit:Google   Tingua risto

Nini hufanyika maisha kwa jiji ikikuwa expe? Chenye tumecheki hasapa 254, ni venye slums zilitokelezea na ikabaki raiya wamefanya hizi kukuwa mtaa na place ya kuita home. Kitu same ilihappen Beijin lakini badala ya kuishi kwa keja za mbao na majuala, wanaishi kwa bunkers ziko underground ya jiji.

Hizo bunkers zilijengwa in 1969 wakati war ilikuwa inaendelea, na baaden zikawa hazina wera. Ikabidi gava imeanza kurentisha kwa squatters wale walikosa makeja wanaweza kuafford.  Inasemekana sahii kuna wasee mita jamo wenye wanastay kwa hizi underground shelters, na wanajulikana kama the Rat Tribe, juu ya kuishi kwa area cheap vimost.

Rooms zenyewe ni pienga kuruka, alafu hubidi wanashare area kama bafu, loo na place ya kuoshea cladi. Lakini kulipa thao nne, soh tatu na mbao, ni afadhali kuliko kuishi kwa street. Tena kuna masti na waba alafu raiya ni friendly, hanaku udingo.

Kuna wadhii wamestay hasapo miaka kibao, hadi wakaanzisha famo, lakini dreams za kuomoka siku jamo alafu wamahe bado iko valid. Huko njei wasee hawajawai elewa venye hii Rat Tribe huishi, na wanakuanga na madharao sana wakitambua msee ametoka huko. Lakini bado kuna hopes kwa future.

Related Stories