Kuna rules za kuvunjana?

March 6 2015 12:10pm     0 1657

Photo Credit:Google   Tingua risto

Sa kuna videsa imekuwa ikimbetea kwa internet yenye inashow fight nifla ilitokelezea njei ya baesa husuko majuu. Vida yenyewe inakaa ilikwachuliwa na nangos juu haikuwa clear. Lakini chenye inafanyika ndio ilifanya wadhii kuzua.

Kulikuwa na noma kati ya rende ya mambuus wakionekana wakivunja mdem mjamo. Walikuwa wamemvamia vimwadhara na inakaa venye chali yake aligundua kile inaendelea alimuja mbio kusave manzi yake.

Lakini badala ya kumtoa hasapo kwa fight, alianza kurusha mangumi kwa hao mambuus akiwatake out, kiboka style. Yaani aliwavunja ni kama anafight na maboy wenzake. Sa wadhii wamekenga hiyo videsa wamegawanyika wakizusha na wengine wakimtetea eti alikuwa anaprotect mutu wa kwake.

Unaona kama alido kitu poa? Inaweza kukuwa justified kuvunja mambuus matime kama hizi?

Related Stories