Masaibu za kugonya taxi
Photo Credit:Google Tingua risto
Ni risky kugonya taxi in general lakini hurudi kukuwa blanda ukiwa mbuus. Lakini kwa Sara Bahai,kutoka Afghanistan, hajawai jali vimost. Akiwa na miaka arbesa na bila hubby, aliamua kuduu waks kama dere wa taxi, ikimfanya manzi wa fao na pekee kufanya udere.
Yeseye ndio hushugulikia famo yao yam utu kinde na kobole, baada ya bro in-law kumadwa na Taliban in 1990.aliamua hatawai marika juu hangekubalishwa kuduu waks tena. Na sahii anaweza kujipanga na mkwanja yenye atawai daily kati ya soh tisa na thao jamo soh nane.
Ndio aweze kuwai lainso, alifika daro ilikuwa na machali salasa akiwa mbuus solo, na walikuwa wanakatsika sana kumget hasapo. Lakini baada ya kuduu exam wadhii kinde, akiwa mjamo wao ndio walipass pekee.
Struggle zake bado zinazidi, juu kuna mabuda hudinda kubebwa na yeye juu ni mdem,wengine wakithreaten, hadi kwa nangos na hadi inabidi anatuna na bunde ya kujiprotect kutokana na hao wadhii wanadai watamdedisha.
Sara bado huduu wera za mechanic na ameanza kufundisha mambuus wengine kugonya mandai.