Ndae haitafanya ubambwe

March 25 2015 6:54pm     0 1825

Photo Credit:Motor trend   Tingua risto

Kwa wasee wengi, hii ni good news vile sasa Ford wameamua watandonyo ndae iko na uwezo ya kumbuku signs za ubaro, na inareduce ama kuongeza speed ya ndae automatically kulingana na vile sign inadaisha. Hii technology inasemekana iko kwa testing phase na inafaa kukua available kwa raiya by August 2015.

Wasee wa Ford wanasema hii control itakua kwa steering wheel na ka msee hataki ido, anaweza tu kanyaga irori na ndae itamskiza. Wanadaisha hii technology itasaidia madere kutobambwa na kutoanishwa as well as kupunguza accidents za ubaro.Wanadaisha hii ni step jamo ya vile ndae eventually zitakua connected kwa ubaro ndio ndae iko mbele iweze kushow ndae ziko nyuma ikianza kukula makibre. Hii yote ni juu wanayebi in the near future, ndae zitakua hazina need ya kua na dere, zinaweza ishia from place jamo to ingine bila waas.

Hii system nira itaanza Europe na brand jamo ya ndae, na eventually iende kwa ndae zingine. Tunahope hii itafika hapa soon, juu kuna vile NTSA wako na ukali ingine jo! Unaonaje, ni kitu itasaidia hapa ama ni ndoto tu?

Related Stories