Take tonnes 19,000 juu ya Easter alone
Photo Credit:NJ Spotlight Tingua risto
Kampu jamo ya kurecycle take huko Ireland imedaisha last year waliget over ton 19,000 na zilikua tu za packaging ya vitu za Easter...yaani 19,000 tons!!
Hizi zilikua za vitu ka choku, Easter egg baskets, cardboards, vitu za dinner kwa makeja za wasee. Walikua wanadaisha wakicheki pia vitu za maresto, supa na hotels, hio take yote ilikua over ton 38,000!
Hii kampu, yenye iko based huko Dublin, wanadaisha wasee wanafaa kujicheki sana vile wanafanya packaging na kupeana brus hii gedhaa ya Easter. Hii ni juu wasee hupeana gifts na vitu kadhaa so kuna take extra kiasi yake kushinda time zingine. Wasee wamekua responsible juu wanatumia hizo place recycling na zimeongezwa kwa mamtaa kadhaa pia na ni poa.
Swali ni, hapa 254, tunagenerate take kiasi gani na kuna kampu ngapi za recycling?