Ngori imepata AFC Leopards
May 13 2015 12:16pm
0
2037
Photo Credit:David Kwalimwa Tingua risto
Inasemekana players wa AFC Leopards wamekaziwa kumochoka kwa hoteli nifla husuko Lacosta juu ya unpaid bill ya soh jamo na seventy thao.
Chingwe wamekuwa kwa hisiyo hoteli kwa siku tatu, wakiwa kwenye game yao ya premier league na Bandari husuko Changamwe. Chingwe walimanage kushinda Bandari FC na dude mbili kwa janamo.
Inasemekana security ni tight kwa hiyo hoteli na hanaku player wowote anaweza mochoka hasapo ninda hadi wamade hisiyo deni ya 170,000. Kulingana na player mjamo mwenye alikuwa anabonga anadaisha kuna venye wanaharasiwa ile deadly.
Management ya hisiyo hoteli inasema imewapatia siku saba waweze ku clear deni. And then hasapa kanairo, managment ya chingwe inasakanya place inaweza kopa doh ya ku clear hiyo deni.