Maodijo kuhepa chuo…
Photo Credit:Google Tingua risto
Chuo ya seko inatabulika kama Thomas Fisher husuko Sultan Hamud imetokelezea kwa mtandao juu ya reasons za ajaabu sana. Inadaishwa maodijo wa hii seko wamehepa janta, reason yao ikiwa kuondokea attacks kutoka mastiude.
Tangu June mastiude wamekuwa wakijifundisha kwa madaro bila maodijo baada ya kuwavunja na kuwafukuza kutoka kwa chuo. Hedi hakuponea hizo attack, husuyu Paul Ameso anadaisha walivamiwa pamoja na Maragua Nyagah, mwenye ndio head of discipline. Yeseye alimochoka na mkono kuvunjwa alafu Nyagah akona injuries za mdihe na mabega.
Yaani mastiude soh mbexes na eighty wako heri kuchop kwa presence ya AP officers kuliko kukuwa na maodijo. Inadaishwa weapons of choice zilikuwa hockey sticks na maodijo walikuwa attacked walidhanywa mkwanja walikuwa nazo. Sa wanagwaya kurudi waks juu ni hatari kwa usalama ya maisha zao.