Tuko number 4

December 11 2015 9:32am     0 2110

Photo Credit:Energy Mix Report   Tingua risto

Kila month kunakuanga na rankings za colective nifla inajiita OSINT (Open Source Intelligence) na hua ni info wamekwachu kutoka kwa systems kadhaa about ability ya country kuconvince wasee wake na wa njei based on infrastructure, level ya kumbuku, placement globally ikifika time ya maganji na aspect zingine ziko dependant on raiya.

Hii mwezi ya Dec, Kenya imekua ranked number 4 kwa hio index ya most influential countries hasapa Afrika. Tuko manyu ya South Africa, Ethiopia na Egypt. Kitu imetupea marks kibao ni level ya education ya raiya na hii imefanya Kenya ikue resource fiti sana ya wadhii wa waks za power. Gava imefanya mambo kuhakikisha wadhii wanapata kushika mbuku kwanza vile kuna free education kwa chuo za orimo na seko, na pia campo zimeanza kua affordable. Results pia zinadaisha infrastructure yetu hasapa inakua developed vipoa sana na at a good rate compared to country zingine zenye ziko na mkwanja na resources ka oil na minerals. Hii ni juu tunatry kuwai target ya Vision 2030.

Kitu ingine inatuwai marks ni humanitarian efforts zetu, vile tuko na relationship poa na country ziko around us mpaka kua host wa refugees kwa wadhii wamehepa country zao juu ya gwoko. Hii ni real juu kuna refugee camp kadhaa hasapa mtaani. Kenya pia imekua hub ya ICT juu ya wasee kuunda vitu za nguvu kusaidia umati. Hii ICT hub ni bez nifla pale Konza. Hopefully pia Kenya itakua na space program ya kupeleka wasee into space. Clearly hii inasunda 254 mbele ya country kibao hasapa juu wasee wako na hizi space programs mostly ni country za ulamini.

Unakenga aje hii riba, unafeel more inclined kuinvest locally ama majuu?

Related Stories