Jay-Z kwa train
December 10 2012 3:57pm
0
2194
Photo Credit:Rolling Stone Tingua risto
Huyu mdabus alikua anishia show nifla, akaamua akwachu train. Walikua wametulia na mdhama nifla, wakaanza kubonga...na ilikua inakwachuliwa videsa...manze hii videsa, wakibonga na huyo mdhama, iligo viral within hours. yebi risto yenyewe hasapa