Mexico vs Cameroon
Photo Credit:Google Tingua risto
On 13th June kulikuwa na mechi zingine bado za Group A, kati ya Mexico na Cameroon. Na Mexico iliweza shinda Cameroon kwa dude moja mtungi. Hii dude jamo ilimuja baada Mexico kukaziwa dude zingine mbili kutoka kwa Giovani Dos Santos. Kulingana na replays zinashow hizo calling za refa zilikuwa incorrect.
Hii mechi ikiwa inaendelea palikuwa na mvua moja most tu sana, na Cameroon karibu waponee. Baada ya Benjamin Moukandjos kupiga hedi na kuseviwa na keeper wa Mexico Guillermo Ochoa.
Kama Cameroon inge manage ku equalize, Mexico wangekuwa na kibarua sana juu game next watapatana na host Brazil. Cameroon sasa ndio wenye wakona kibarua juu hakuna mechi wameshinda na team next wanapatana nayo ni Croatia, na Croatia walishow an impressive game wakiwa wanagusa na Brazil. Juu kama sio decision mbaya za refa kunavenye wangeshinda Brazil kwa mechi ya fao.
Kulingana na facts zinashow Mexico kushinda Cameroon ndio mara ya fao kuwahi shinda team kutoka Africa kwa World Cup tournament. Nao Cameroon wamewahi shinda game jamo pekee kwa appearance 14 kwa World Cup games.
Alafu fact ingine about hii match ya Mexico vs Cameroon, inashow Cameroon ilikuwa na four(4) shots most kushinda opponents wao Mexico, na hanaku yeyote ilikuwa on target until the 90th minute, shot kutoka kwake Eto’o kuwang’a ndeng’a.
Sources nazo zinadaisha Francisco Javier Rodriguez alikuwa na passes 74 for Mexico, akiwa na 38 more passes than player wowote wa Cameroon. After 90 minutes, game ilikatika Mexico ikiwa na dude jamo, while Cameroon ikatoka nunge. Dude ya Mexico ilitingwa na Peralta, baada ya kupata rebound kutokana shot ya Giovani Dos Santos.