Mayut wakisaka za bwerere…

September 4 2014 10:05am     0 2151

Photo Credit:Google   Tingua risto

Sijui kama ni venye mapero wamesahau wera yao ama ni hizi matime zimekuwa hard kulelea waniaju. Risto iko hasapa itafanya pia wesewe kushangaa the same. Wengi watajitetea kwamba conditions za kuishi huchangia vile mayut wanajipa kwa maisha ya crime, lakini ni parasha tu.

Siku hizi unaget gang zile mwenda, zinatokana na mateenie kutoka ghetto. Wamebandikwa jina ya criminal gangs coz wako responsible for robbery with violence, car jacking, kuchapana combi, na kugosa nangos na udingo zingine za ufala.

Inasemekana hawa mayut ni wasee wako jobless na imebaki wamejifundisha skills za kutumia weapons. Tamaa ya mkwanja ya haraka pia inachangia kwa hizo gang kugrow sana. Tena walipenda hepi na maisha ya hali ya juu, kumaanisha lazima kuingiza kwa udingo ili kukeep up na lifestyle.

Kuzidisha wamejiona mahardcore, nikidhani juu ya kubeba mabunde hadi hawagwai makarao. Recently wamekuwa naguts za kupost mbisha zao kwa social  media wakiwakilisha thug life yao. Na ata baada ya wengi wao kuangushwa na mavedi, recruitment bado zinaendelea.

Kwanza kuna jamo ya hizo gang, inatambulika kama Gaza kutoka mtaa ya Oyole, yenye imekuwa sumbua vimost. Inadaishwa wanasaka mateenager wako chuo bado, kiasi ya miaka kinde na four. Kumaanisha itakuwa wera hard sana kucontain operations zao.

Kama society, tusipochukua hii time kueducate mayut wetu, venye wanaweza kuhepa life ya violence na udingo, wataweza kugrow wakiwa raiya wa maana hasapa 254. 

Related Stories