27 Dec 2012

Orismo mwenda huko ocha


Date leo ni 20th Dec. Mbuyu ame tuletea ma tiko za Easy Coach ame tu show tuna enda ocha kesho...
Chokola wa intanet
Chokola wa intanet nu sikuwa na mood ya kuenda ocha juu ni last week tu nilikuwa nime angukia msus mnira na hata sija malo ku muingiza xob!
Peter Pata
Peter Pata Huyo msus alikuwa ni wa Pango na tulikuwa tume meet kwa funkie ya French huko Alliance Francaise.
Ras
Ras So mimi huyo! nisha show mbuyu ati French club walikuwa wame shoiwa wasi make plans za Dec juu French ambassadeur alikuwa ni atu invite kwake on 22 for a Christmas bash.
1
0
0
dango
dango Kutoka nje nivutie shtebe yangu kwa gate yao, yule dem wa hood huyuuuu anadai. Ningeduu wart?
1
0
0

  Adisia Line