Sheng Idiom
Jamaa alibetekwa
Meaning yake : Jamaa alipigwaIdiom usage : Kuna jamaa moja jana alibetekwa vibaya na mabeast = There is a yesterday who was beaten ruthlessly by the police.
Words kama Jamaa alibetekwa
Jamaa — (jah-maa) [Noun]
Meaning yake: A man
Word use: Ule mjamaa tulikua na yeye chuo = That man we used to be in school together