Sheng Idiom
Jama alipatangori
Meaning yake : Jamaa alipata shidaIdiom usage : Ule msee ako na ngori ingine mwadhara = That person was in deep trouble.
Words kama Jama alipatangori
Jamaa — (jah-maa) [Noun]
Meaning yake: A man
Word use: Ule mjamaa tulikua na yeye chuo = That man we used to be in school together