Sheng Idiom
Ingiza njeve
Meaning yake : To fearIdiom usage : Kwenda stanje mimi nina ingiza njeve = I fear going to the police station
Words kama Ingiza njeve
Haha — (ha-ha) [Verb]
Meaning yake: To Fear or Be Afraid
Word use: Mi si endi, nime haha = I'm not going... I'm afraid