Sheng Idiom
Kuingiza waba
Meaning yake : To be afraidIdiom usage : Mimi hupatana na ile rende na anza tu kuingiza waba = Whenever i come across that gang i start to be afraid
Words kama Kuingiza waba
Gwaya — (gwa-yah) [Noun]
Meaning yake: Fear or Afraid
Word use: Siwezi kam kihivyo, na gwaya mbuyu wa u = I can't come over to your place. I'm afraid of your dad