Sheng Idiom
Kuingiza baridi
Meaning yake : To fearIdiom usage : Ule dere vile ana drive anaweza kuingiza baridi = The way that driver is driving can make you to be afraid
Words kama Kuingiza baridi
Njeve — (Nje-veh) [Verb]
Meaning yake: cold
Word use: Leo naskia njeve = Today i am feeling cold