Sheng Idiom
Kukunja mkia
Meaning yake : To be AfraidIdiom usage : Ule dem msupa alifanya nikakunja mkia vile alikaa karibu na mimi = The pretty girl sat next to me and I immediately got afraid of talking to her
Words kama Kukunja mkia
Haha — (ha-ha) [Verb]
Meaning yake: To Fear or Be Afraid
Word use: Mi si endi, nime haha = I'm not going... I'm afraid