Sheng Idiom
Uma vako
Meaning yake : To sit in waitIdiom usage : Wacha pupa, uma vako = Stop fretting, please wait
Words kama Uma vako
Vako — (va-ko) [Verb]
Meaning yake: Lie or to cheat
Word use: Yani ume ni chukua todhi aje una try ku ni vako? = What kind of a fool do you take me for that you are trying to lie to me?