Discussion on Plaka
![]() Dunkie | hisi word nili iskia prominently kwa song ya Kaka Sungura (Staki kukuona) aki show ule dame hana time ya love labda waplakane |
![]() Wawesh | kumbe hiyo ndio hiyo word ina mean kwa hiyo song? |
![]() Engineer | Plaka Hiyo ngoma ya kaka sunguch (Adisia) iko na hii word. Nime muka hapa kuyebi meaning ya hii word |