Halafu sasa ma karao pia wame kazima
September 13 2012 4:53pm
0
2455

Si venye tuna ikenga, ita bidi sijui 254 ingafuiwe, kila mtu asimame hapo nje juu ya Indian Ocean, country isweepiwe, taka nini nini zitupwe njei halafu watu warudishwe ndani jamo jamo waki vetiwa ...
Makarao waki enda go-slow sasa kuta go aje?