Wazee Hukumbuka

August 3 2012 5:27pm     1 47790

Photo Credit:Google   Tingua risto

Technology imetoka far over the years. Day yenye nangos ziliingia hasapa 254 bado iko fresh kwa raiya kadhaa hasapa na ilikua status symbol jamo ya vungu sana. Nangos zilikua zinakindwa bei ingine mwenda, mtu few sana ndio walikua wanawezana pekee. Usitake jua size ya hizi nangos ilikua aje pia..karibu mtu ashonee nangos bag ndio aweze kutembea nayo, si kaa these days.

Kuna vitu wathii hukaa hivi wanakumbuka alafu wanakiche vile tumemuka farthest. Ni nini unakumbuka kutoka hii enzi ama before?

Related Stories