Hii ndio uwenda...Watu wajaribu iwezekanavyo kutulia..

May 24 2012 1:22pm     10 46759

Photo Credit:Kenyan List   Tingua risto

Walami wanadaisha "A photo is worth a thousand words" lakini hisihi hapa imetulemea...tumekaa hapa kwa offe tunaulizana, ni antics za konkodi ama ni mdhii alikua amefyatukiwa?

Lakini kama kawa, hapa 254 tunapenda vitu za ajaab..maisha hivi hivi haileti shangwe. Lazima tukae ka tumejichocha kiasi yake otherwise pressure za life ni kibao tu sana. Time zake unaweza get mambo mwenda kwa ubaro, offe, daro ama hata mtaani...na ka uko na menje, wai mbisha ama vile day zinasonga, kuna mpaka social media, yaani kina Facebook, Twitter, Instagram nini nini.

Tushow unadhani nini inaendelea hasapa

Related Stories