Mambo strike kila mahali
September 10 2012 12:47pm
0
3343

Hii ndirao, strike zimekua fogo. Ilianza na ma modeh, sasa pia madoki wanaanza yao, iende kwa ma lecturer chuo...kila mtu anaenda strike, mbona hatuskii ya mathegi?