Kanisa ya ma-celeb pekee!

July 15 2013 11:29am     0 1762

Photo Credit:By Standard Digital   Tingua risto

Kuna hii riba inatuget na tumebaki tunashangaa kunaendaje...! Inasemekana kuna churchiko nira ilianza July 7th 2013, hapa Kanairo, kwa hoteli jamo ya vungu, Laico Regency. Hii so far si risto mbaya, in fact inaweza semekana ni idea poa sana. Lakini as it is, inasemekana hii church kuwa ya ma-celeb pekee.

Mbeleni ma-celeb walikua wanaenda Mavuno ama Nairobi Pentecostal ama Jesus Celebration Centre (JCC). Pasi wa hii All Star Church, Catherine Munene, anadai imeanzishwa juu hao ma-celeb hawawezi enda kanisa za River Road.

Hii inafanya tushangae, church sio place ya watu from all walks of life kupatana na kuomba? Sa kama we ni mtu hivi hivi usijaribu kuenda juu hautafika bei.

Related Stories