Kuoshiwa nayo!

November 19 2013 1:07pm     0 1307

Photo Credit:Vibesweekly   Tingua risto

Obi Mikel ni international player kutoka Nigeria. Inasemekana husuyu mjamaa alioshwa mkwanja kiasi nifla na beshte wa kwake. Risto ilikuwa ati beste ya Obi Mikel alicheki mali akamshow, Mikel aka amua kuenda kuiyebi na after kuiyebi aka bambika nayo. Sa si ikabaki atoe mkwanja. Akamchorea cheque ya Naira mita soo. Hio ni equivalent ya mita chwani hapa mtaani.

Baada ya kumchorea na ku transact mkwanja, husuyu mjamaa aka kaa missing, mjamaa haonekani mtaani na pia nangos yake hapatikani... sasa tunauliza hii ni ubeste ya aina gani bana? Uko na mabeshte hii sampuli?

Related Stories