Ndae zenye Etoo anagurumisha

November 19 2013 3:14pm     0 2043

Photo Credit:Daily Post   Tingua risto

Hasapa tuko na list ya ndae kadhaa zenye Samuel Eto'o hugurumisha. Ako na list ya mandae kama kinde, na zote ni mwenda.

Samuel anatambulika kwa kucheza foota league kadhaa, kuanzia EPL, La Liga na inakaa hio time ndio mkwanja ilipenya sana. Talent ya foota pia ina rewards zake, blanda ni mapero kiasi huchuja waniaju wao kwa uwanjo na kumada hopes za waniaju wengi.

Hii culture ya ball unaiyebi ni ka inaletwa poa hapa 254? Kwa hii list ya mandae unatambua ngapi za husuyu buda?

Related Stories