Wadhii 15 wakaoshwa cha dabo

November 20 2013 3:37pm     0 1298

Photo Credit:Daily Nation   Tingua risto

Leo madonda na madere wa rotejo ya Muthurwa waliamua kupigisha wadhii nifla shower cha vungu. Hawa wasee 15 hufanya wera ya kubebea wasee mizigo wakitumia mkoko, blanda yao sasa huwa hawapigangi waba. Na kawaida janta kama hiyo yao ni janta yenye msee lazima ma jasho tu sana. Sa una imagine mdhii amemada month ka jamo hajawai kula shower una imagine anatepa asaje?
Wasee walikuwa wanayebi hii shuguli ikiendelea waliamua kuchanga doo kiasi ndio waweze kubotiwa ka soap na mawaba hivi za kuwang'arisha.
Ni muhimu kukula shower jo juu unapatana na mtu sampuli mob hapa njei. Ushapatana na rende ikipiga msee waba ama kuna mdhii unamesea ako na beef na bafu?

Related Stories