Shuga Imebak kwa teli!
December 2 2013 11:39am
0
2523

Series jamo ya vungu, tunaitambua kama Shuga imebak full force. Ilifanya premier na husuko kwa wanaija, hii wiki imepita. Kipindi yenyewe inajulikana kufunza wasee kuhusu HIV/AIDS. Ya round hii ni season 3 na iko na ma-actor wanaija solo except Mkenya mjamo, Nick Mutuma. Hope itabamba kama za fao.