KFCB imekwara movie ya DiCaprio kushoiwa

January 17 2014 10:34am     0 1639

Photo Credit:Njambi Mungai   Tingua risto

Kenya Films Classification Board(KFCB) ime order hii movie inajiita Wolf of War Street isijaribu kukindwa ama kudistributiwa hasapa 254.Na msee atapatikana aki kinda ama aki distribute atachukuliwa hatua kali.Hii movie imekaziwa kushoiwa juu content yake sio poa, ikona risto ya kumangana na wasee wako ndedhe alafu ikona risto mob ya madree.Hii movie iko based na true story ya msee nifla anajiita Jordan Belfort,venye ali rise hadi kuwa mdosi na venye alikuwa anaishi maisha ya ki sos hadi venye ali sota juu ya corruption, crime na federal goverment.Na kitu cha kushangaza sio hasapa 254 hii movie imekaziwa pia kunazo countries zingine a cross africa.

Related Stories