Ngori za dema!

June 11 2014 4:06pm     0 2102

Photo Credit:Standard Media   Tingua risto

Wasee wengi hujipata wamebadilisha size ya cladi hadi wanasemekana kukuwa masafara wa obesity. Na mara mob utaskia wakiblame vitu kama junk food ama kukosa kupiga tizi na kadhalika.

Lakini na husuko South Africa, kuna aina tofauti ya hisihi blame game. MP wa S.A wanadai ile keroma wanapikiwa kwa Parliament ndio blanda. Ati kabla wakuwe wabunge walikua slim fit lakini mambo zilibadilika venye walichorwa waks kwa Parliament.

Unafaa kukemba hiyo menu yao ni jamo ya ajaab.  Utadhani wao hulazimishwa kudishi. Alafu kuzidisha kuna gym kwa hiyo facility lakini hakuna msee huenda kupiga zoezi. Na saa hizo raiya wanahustle mbaya kuget angalau dema jamo kwa siku.

Related Stories