Unangoja nini bado hujamarry?

June 16 2014 1:11pm     0 2125

Photo Credit:Google   Tingua risto

Tangu kuwa mtoi, msee hukuwa na hopes za kumarry ama kumarika, wakigrow up. Lakini anasa za dunia hukam na kubadilisha hiyo view na venye masiku zinazidi, unapata wasee less wakifwata hiyo dream.

Lakini inasemekana wasee wanahata siri ya kuishi more juu ya kuhepa hii part ya life. Kumbe hisihi njaro ya kubaki single haileti shangwe. Inatambulika wadhii single kudai kukuwa na hepi mwenda lakini hawajisaidii. Juu watazidi kudishi vi unhealthy, kunywaku keroro na kuvuta gafe vimost, kumangana bila mpango na kadhalika.

Kwa side ya wasee wamemarika, ni rahisi kukuwa na health poa na basi kupunguza mortality risk ya kwako. Although bado marriage ikona stress zake, lakini sana sana zitatokelezea  wasee wakikosa kujipanga poa na kufanya iwaletee raha.

Ata advise mwenda kwa raiya, ni kukuwa na positive attitude, marika alafu peana lungula kwa wingi na mtakuwa happy. Alafu mtaishi maisha ndefu vimost.

Related Stories