Highlights za futa 2014 FIFA WORLD CUP

June 18 2014 12:31pm     0 1812

Photo Credit:Google   Tingua risto

Vile kuko saa hii, hakuna event inakaribia ama inaget viewership bigi hisisvi worldwide, kuna vile karibu kila mraiya ako glued to nini inahappen Brazil. 2014 FIFA WORLD CUP ilianza on date 12th June 2014, na Brazil ndio walikuwa watinguwe uwanjo na game ya fao against Croatia husuko Sao Paulo.

Hii game ikianza Brazil walijitinga own goal through Marcelo alipo deflect ball hadi ndani kwa net, alafu eleven munites baadaye Neymar aka manage kupea Brazil dude ya fao, baada ya kuchapa nduki from 25 yard from the post. Ilipofika the 71st minute, Brazil wakageiwa controversial goal, baada ya refa kutoka Japan anajiita Yuichi Nishimura kudaisha Fred amefauliwa na Dejan Lovren akiwa kwa box. But for real kulingana na slomo inashow hapakuwa na faul yeyote, na Neymar ali manage kutinga hiyo pena ikiwa dude yake ya seko.


Alafu game ikiwa kwa dakika za last, Oscar, player wa Chelsea pia na yeseye aliweza kuona net, na kumek dude kuchange na mechi ikaisha Brazil 3 – Croatia 1.

Hatuwezi sahau ma player wengine kama Dani Alves, David Luiz, Julio Cesar, wenye waliplay role bigi sana kwa hii game.Na pia side ya Croatia, palikuwa na ma player wali play role bwaku sana. Msee kama Luka Modric, Msee kama Dejan Loven ali provide a solid strength hapo defence wakisaidiana na Ivan Rakitik.


Kulingana na hii game wasee wanadaisha Refa ali spoil hii game juu Croatia walikuwa washinde hiyo game, juu Brazil hawakuwa wanagusa a convincing game. So inamaanisha Croatia walikaushwa hizi points.

Related Stories