Ngozi ya msee kama cover ya mbuku!

June 19 2014 1:10pm     0 1972

Photo Credit:Standard Media   Tingua risto

Scientists kutoka Havard Yuni, walidiscover mbuku nifla kwa laibu, imefanyiwa binding na ngozi ya binadamu.

Waliget hii discovery, baada ya kuduu test kadhaa kutambua material imetumika kubind hiyo mbuku. Wanadai ilikua idea mwenda, sana sana coz mbuku yenyewe inabonga kuhusu the human soul.

Mwenye kuiandika, anasemekana alikua doki, anaitwa Ludovic Bouland, matime za 1815-1896. Na mwenye ngozi ni manzi alikuwa ametupa mbao lakini alidedi juu ya kuget heart attack.

Sa juu ya history ya venye hii mbuku ilibindiwa, inasemekana kukuwa antique na imepreserviwa wasee waende kukemba vile inakaa.

Related Stories