Columbia ikanyuka Ivory Coast 2-1

June 20 2014 10:55am     0 1752

Photo Credit:www.bbc.com   Tingua risto

Dude kutoka kwake James Rodriguez na Juan Quintero iliokolea  Columbia kushinda Ivory coast dude mbexes kwa jamo(2-), na sasa Columbia wana lead in group C na points sita wakifuatiwa na Ivory coast na points tatu Japan jamo pamoja na Greece baada yak u draw leo ngware.

Ata hivyo hizi team mbili zote kunavenye zipenya kuingia raundi ya last 16, alafu Japan na Greece hata have ku pack bagiko zao na warudi mtaani kuchekia dimba kwa teli.

Kiasi tukicheki venye game ilikuwa, second half James Rodriguez alitingua score sheet baada ya kupata crosi moja noma kutoka kwake Cuadrado. Baadae kiasi Juan Quintero akaweza pata wavu na kumake dude kuwa mbili mtungi. Gervinho msee huchezea Arsenal aka equalize na dude moja spectacular baada ya kuchenga wasee watatu na kuskuma nduki hadi ndani kwa neti.

Game ikianza palikuwa na chances kiasi tu sana alafu game ika simamishwa kiasi baada ball flani kurushwa kwa uwanjo na ma fans, but player wa Columbia Toefilo Gutierrez ndio alikuwa na makali kwa hizo early stages za game lakini hakuweza kuona net half ika katika ikiwa nil nil.

Second half ndio idhaa ilikuwa na madude, mwanzo venye Ivory coast ilikuwa ime twangwa dude mbili walikuwa wana kaa ni kama wame katikiwa tu sana lakini baada ya sub kadhaa kufanywa Bonyi kuingia wakiwa na Drogba game ika change. Kwa bahati poa Gervinho akaona wavu walirudi back to the game, but ikawa ni ngumu kupata dude juu keeper wa Columbia David Ospina alikuwa yupo present na kukausha short zilikuwa zin come pande yake.

Game next Columbia watapatana na Japan date 24th June, on the same date Ivory Coast itapatana na Greece.

Related Stories