Saf-com na shop ya madonga pekee

July 11 2014 11:57am     0 1994

Photo Credit: Nation Reporter   Tingua risto

Safaricom wametingua shop flani hasapo Westi Sarit centre ya wasee wana mkwanja. Shop yenyewe ni sodi na spacious, na shop yenyewe imesukwa ile deadly.

Shop, ikona maburungo zote nira za ki techie na pia services zenye zina suite life ya kidonga. Alafu ukiwa Platinum club member unakuwa assigned kwa Relationship Manager mwenye unaweza book appointment na yeseye kupata naye idhaa yeyote unajiskia.

Na bado una enjoy preview na kuzi order device zote mwenda kabla ata ziwe launched kwa mako. And then unageiwa hii mbana 242 ya customer service, mwenye unaweza mpata idhaa yeyote utamvutia. Ukiwa member wa Safaricom Platinum Club ni exclusive na hadi ualikwe hauwezi enda hasapo kimala mala, ama ukuwe msee una angusha thao kinde na kobole kila mwisho.

Ebu nichapia kama unaweza ingia hii club ama already umesha join…..

Related Stories