Noma kwa biz ya kujikinda….

August 22 2014 2:09pm     0 1772

Photo Credit:Google   Tingua risto

Wadhii kadhaa kutoka Nigeria wamejiingiz kwa noma nifla yenye wanadai imeharibu maisha zao. Nigeria ni country jamo yenye ina raiya fogo na hustle ya kuwai mkwanja tu ya kusurvive imakuwa harder than ever.  Sa inabidi wasee kukinda parts za mwili zao ndio wapate cheddars.

Msee mjamo, anajiita Martin, anadai alifanyiwa tricks hadi akakinda Kidney yake for $7500. Alikuwa na dreams za kukuwa Engineer siku moja lakini hakuwai pata fees za kufika chuo.  Beshte yake mjamo akamuja na mraa ya kuget mkwanja mbio na akamshow ataweza kukafunga akikinda kidney yake.

Ilibidi amejifanya kukuwa member wa famo ya manzi alikua ananeed kidney transplant ndio akubalishwe kutravel na yeseye hadi India. Kufika hosi, alidoiwa matest za kucheki kama anamatch na huyo patient, alafu medical test zinengi za HIV na STD’s.

Blanda ni ati, ile doh alikuwa anawai lazima angegawia huyo beshte yake juu alimshikanisha na hiyo janta. Hadi akasahau ataumia akiwa solo coz atakuwa bila kidney jamo, maisha yake yote.  Lakini beshte yake atazidi kuomoka kama atazidi kuskiza wasee wengine kuduu the same na Mato.

Kumbe hii biz imekuwa mzuka na wasee wengi sana wanajipata kwa noma ya kujikinda juu ya kutamani ganji ya kukuom fasta.

Related Stories