Msee anajiita Man United

August 27 2014 2:34pm     0 1575

Photo Credit:Capital fm   Tingua risto

Kuna msee flani huko majuu ameamua kuchange jina yake oriji na kujiita Manchester United. Reason ya huyu msee kuchange jina nikushow venye yeseye ni fan mbigi sana wa Man United na bado aka jitattoo logo ya Man U kwa forehead yake.

Huyu msee jina yake oriji najiita Zdravcov Levidzhov msee kutoka Bulgeria, huyu mjama amekuwa kotiko mara mob sana akijaribu kuconvice kotiko wabadilishe jina yake oriji yenye iko kwa ID, na kumuita Manchester United juu sasa kotiko ili kwara aliamua kutatto logo ya Man U kwa mdihe.

Zdravcov akona miaka chwani saa hii, anadaisha idhaa yeyote msee ana muuliza jina yake yeseye hupoint kwa forehead yake, akidaisha hiyo ndio I.D yake. Na bado anasema wasee huwa hawashangazwi na tattoo kwa forehead yake, huwa wana muangalia kwenye admiration. Na hii ina make ku stand out ku prove loyalty to Manchester United. So kama wesewe ni fan wa Man U usikufe moyo ata baada ya kukung’utwa dude nnei mtungi kwa capital 1 cup.

Related Stories